Makambako siku ya treni ya mizigo pale tazara, ukiweza nenda mbeya soko la soweto ccm wanachana nguo Kwa siku kuna siku ya makoti, siku ya jinzi, siku ya tishirt, Dodoma kwa sasa hawana mtumba mkali, mtumba wa viatu kahama, utafute wachanaji wa mikato kutoka uganda, makoti na blanketi ni nairobi pitia sirari, mtumba mwingine nenda masumbwe ukifika pale ulizia sehemu wanachana mtumba wa jumla mkali ni porini hivi shati la 2000 , utaliuza hadi 10000, lakini toka masumbwe hadi kule nauli kama elfu tatu, mtumba wa magauni ya kina mama ya kiofisi na nyumbani ni mbeya pia, makoti ya leiza na kofia mizula na mapama nenda tunduma uulizie utapata