Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amemaliza deal la Makambo sasa anakuja Tshishimbi.Huuh huuh...! Nasikia Zahera ndo kaondoka naye kwenda kumuuza, yaani jamaa anafanya atakalo..[emoji23][emoji23][emoji23]
AlifanyajeHata SAF alifanya kwa Rinaldo
Mwenyekiti Msola amesema Zahera ndo katimua naye Juzi Usiku kwenda kumuuza Horoya huko Guinea na yeye Zahera anarudi Kesho..Chanzo EFM..!Kuna dalili za ukweli ndani yake, Zahera ni longo longo mingi, Shishimbi hawezi baki.
Kumbe Msolla ameingizwa mjini na Zahera, walikubaliana akafanye vipimo vya tu, halafu wajadiliane bei, lakini Zahera amemuuza mwenyewe na Horoya watajua jinsi ya kupambana, itakuja issue ya mshahara na hela ya usajili.Mwenyekiti Msola amesema Zahera ndo katimua naye Juzi Usiku kwenda kumuuza Horoya huko Guinea na yeye Zahera anarudi Kesho..Chanzo EFM..!