Elias Misinzo Maligo
Senior Member
- Apr 7, 2019
- 140
- 122
Naona miaka mitano waliyokaa eda haikuwatosha hawa mikia,mpaka walimweka Mwenyekiti mchawi eti awasaidie kurudi kwenye ubora,sasa wameanza tena kuchonga.Manji alikuwa mwenyekiti .. .figisu za choko Bashite zimekupeni unafuu.. Mngekaa eda miaka kumi
Hizo bilioni ni hii bakuli au kuna chanzo kingine?Zahera atawaletea mkali zaidi ya Makambo, wala msijali anawajua vzr wachezaji.. ngoja apewe 1.5B ya usajili.
Enzi za Manji + Malinzi na Magoli ya mikono ya Tambwe ulikuwa wapi?
Walaumu LIPULI sio marefa.
Ingekuwa simba wameuza mchezaji isingekuwa njaa. Wachezaji wapo kwa ajili ya maslahi km pametokea sehem pazuri anaenda.
Sijaona sababu ya kichwa cha habari kuwa kaikimbia wakati huohuo unasema M/kit anayo taarifa.
Hii habari inaumiza kuliko ncha ya mshale.
Sidhani kama tutakuja kupata striker wa kariba ya Makambo miaka ya karibuni.
Makambo ni fowadi aliyekamilika. Kila la kheri kwake namkubali sana jamaa.
Hata hivyo alistahili kuondoka hasa ukizingatia hatupo tena kwenye michuano mikubwa
Enzi za Manji + Malinzi na Magoli ya mikono ya Tambwe ulikuwa wapi?
Walaumu LIPULI sio marefa.
Hahahaha,Zahera hana makuu na mtu! atawamegea kidogo
Mjitahidi 2020/2021 Mwende kimataifa.. mtakalia uongo hadi matako yawakae sawa.Penalty mbili za figisu kule Mwanza, mbeleko itawaua,kimataifa mechi mbili goli kumi,hapa nyumbani, kupulizia sumu kwenye vyumba, mbinu za kichovu.
Mtakaa sana vyura fcNaona miaka mitano waliyokaa eda haikuwatosha hawa mikia,mpaka walimweka Mwenyekiti mchawi eti awasaidie kurudi kwenye ubora,sasa wameanza tena kuchonga.
Sisi tunarudi CAF CHAMPIONS .. vipi nyie Kwapa manyoya fc?Walalamikieni Mashujaa,refa kachezesha hadi dakika 101 ili mkomboe 2-3 lakini ikashindikana mkatolewa! Mashujaa bwana hawana huruma.
Report ya CAF inasemaje juu ya kupuliza madawa vyumbani?.. Mtatoa macho hadi lini kusema uongoPenalty mbili za figisu kule Mwanza, mbeleko itawaua,kimataifa mechi mbili goli kumi,hapa nyumbani, kupulizia sumu kwenye vyumba, mbinu za kichovu.
Mnarudi kwa mbeleko ya TFF, eti viporo 22 wakati wengine wamebaki na 5. Mbinu hii ya TFF imewasaidia kwa timu ambazo hazishuki wala kuwania ubingwa kufanya biashara na Mikia, beki anatoa pass fupi mara mbili. Biashara hiyo kwa msaada was TFF.Sisi tunarudi CAF CHAMPIONS .. vipi nyie Kwapa manyoya fc?
Hata Gadiel Michael alipiga pasi fupi Bocco akainasa.. akamtupia Kagere ndani.Mnarudi kwa mbeleko ya TFF, eti viporo 22 wakati wengine wamebaki na 5. Mbinu hii ya TFF imewasaidia kwa timu ambazo hazishuki wala kuwania ubingwa kufanya biashara na Mikia, beki anatoa pass fupi mara mbili. Biashara hiyo kwa msaada was TFF.
Vipi kuhusu viporo 22uliwahi kuona ligi ya wapi duniani?Hata Gadiel Michael alipiga pasi fupi Bocco akainasa.. akamtupia Kagere ndani.
Kama ni kuuza mechi sio timu ndogo tu hata yanga Wameuza.. ndio maana KANAVARO alifata malipo yenu kwenye ofisi ya Mo kabla ya mechi.
Viporo havinihusu... leta namba nichangie bakuli mtani.Vipi kuhusu viporo 22uliwahi kuona ligi ya wapi duniani?
1.Kutolewa FA mlipuliziwa dawa?Ushindi wa simba una makandokando meengi sana,mara viporo 22 eti mechi za round ya kwanza zinachezwa mwishoni mwa ligi hovyoooo,mara kununua mechi,kufukuzisha marefa,tff simba yote, kupuliza dawa nk
Hakuna cha ajabu. Huyu ni mchezaji anayejitambua na alikuja tanzania kuongeza uwezo na kuonekana kimataifa. Hili linapaswa kuwa lengo la kila mchezaji. Huyu kwake, kila mechi ilikuwa kama ndiyo mechi yake ya kwanza na mwisho wa siku amefanikiwa kusonga hatua moja mbele.. Ni aibu kwa wachezaji wetu hasa wale ambao tunawasifia halafu wakalewa sifa na kuishia yanga na simba tu.Habari mpya ni kwamba leo Mshambuliaji tegemeo wa Yanga Heritier Makambo amejiunga na Horoya ya Guinea kwa mkataba wa miaka mitatu, habari zaidi zitafuata.