Makambo ni bonge la mchezaji!!

Punguza jazba halafu ujifunze kuandika.
Tatizo la kujifanya "much know". Yaan kwa upumbavu umeshindwa hata ku-google Makambo ni nani mpaka uje umebinuka eti " mi sio shabiki wa Yanga Makambo ni nani?" Makambo ni baba ako mdogo wee muulize mama ako anamjua vzur shuhuri yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnipe taratibu ya kuchangia YANGA yetu.

JINSI YA KUICHANGIA KLABU YETU.

VODACOM M-PESA.
1.Piga *150*00#
2.Chagua 4 - Lipa kwa M- Pesa.
3. Chagua 4- Ingiza namba (123123)
4. Weka Kumbukumbu Namba (150334)
5. Weka Kiasi.
6. weka namba ya siri.
7. Utapata ujumbe wa uthibitisho.

TIGO PESA.
1. Piga *150*01#
2. Chagua namba 6 (Huduma za kifedha)
3. Chagua namba 5 (Selcom Pay).
4. Ingiza namba ya Malipo (150334).
5. Weka kiasi.
6. Ingiza namba ya siri.
7. Utapata Ujumbe wa uthibitisho wa muamala.

AIRTEL MONEY.
1. piga *150*60#
2. Chagua namba 5( Fanya Malipo)
3.Chagua namba 2 ( Uchaguzi wa biashara)
4.Chagua namba 3 (Manunuzi)
5. Chagua namba 3 (Selcom)
6. Weka kiasi.
7.Ingiza namba ya malipo (150334)
8.Weka namba ya siri.
9. Utapata Ujumbe wa uthibitisho wa muamala.

UKIFANYA HIVO UTAKUWA UMEICHANGIA KLABU YAKO, HONGERA SANA MWANANCHI! PIA ITAKUWA VEMA UKITUONESHA UJUMBE WAKO HAPA WA MALIPO. . PIA WAHAMASISHE NA WENGINE KUCHANGIA.

Karibu tuwape homa mikia.
 
Hi
 

Baada ya miezi mitatu hivi ndipo tutaona uzuri wake na hasa baada ya kuwafahamu wanawake wa Tanzania (wa Dar es Salaam) wanaosifika kwa kuua vipaji vya mpira vya wachezaji wa kigeni nchini Tanzania
 
Hata Tshishimbi Kabamba tuliambiwa hivi hivi, baadae ikaja kujulikana ni mvaa kikuku tu.

Huyu naye tutamjua tu.
 
Makambo kuwa makini sana hawa wanao kushangilia na kukusifia wakati unajitahidi kupanda mlima hawa ndio watakao kucheka wakati wa kushuka kwako. Mashabiki na waandishi wa dar ni hatari sana hawauji mpira ila wanazijua timu kuwa makini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…