Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 239
Nasikia Makame anataka kujiuzulu kwa aibu, baada ya kubaini alipotoshwa na UWT -- ila tu baadhi ya makamishna wazee wengine wanamsihi abakie madarakani hadi zoezi la kutanbgaza matokeo liilshe. Bila shaka anaanza kutubu kwa madhambi aliyowafanyia Watz.
Naye Kiravu tangu ashinikize kutangazwa kwa matokeo ya Segerea amekuwa haonekani katika vikao kadha vya Tuyme na taarifa zinasema anasumbuliwa na sukari.
Wewe unakuwa wa kwanza kupinga kila kitu bila utafiti, sasa hivi umetoka kupinga data zilizokosewa na NEC walipokuletea evidence ukatoweka, jaribu kuwa mstaarabu.Hawezi kujiuzulu ameisha sema, hata mlie machozi ya damu mpaka muda wake kisheria uishe na naisikia ni 2016 , ambapo uchaguzi wa 2015 atakuwepo tena tume ya uchaguzi
think twice before you jot down you foolish fool.acha porojo brother,
sasa ajiuzulu kwani ye ndio aliowaumba wapiga kura? amazing, thanks
Hawezi kujiuzulu ameisha sema, hata mlie machozi ya damu mpaka muda wake kisheria uishe na naisikia ni 2016 , ambapo uchaguzi wa 2015 atakuwepo tena tume ya uchaguzi
Hakika ni vigumu kuzipinga tuhuma za Slaa -- kuna dosari nyingi mno, tena za wazi wazi. Hawezi kuzipatia maelezo moja moja, labda ajikinge tu kwa kusema ni typing error, au akiri bayana kwamba amepotoshwa na wasimamizi wake vituoni.
By the way, hawa anaodai ni wasimamizi wake -- ni kweli ana mamlaka nao -- yaani Tume yake ndiyo iliwateua? Hawa ma-DED si wateule wa Mwenyekiti wa chama tawala -- CCM -- kwa nini Tume inataka kutufanya Watanzania mafala?
Kama hujui unachotaka kuandika kaakimya usilete upupu hapaacha porojo brother,
sasa ajiuzulu kwani ye ndio aliowaumba wapiga kura? amazing, thanks
Hakika ni vigumu kuzipinga tuhuma za Slaa -- kuna dosari nyingi mno, tena za wazi wazi. Hawezi kuzipatia maelezo moja moja, labda ajikinge tu kwa kusema ni typing error, au akiri bayana kwamba amepotoshwa na wasimamizi wake vituoni.
By the way, hawa anaodai ni wasimamizi wake -- ni kweli ana mamlaka nao -- yaani Tume yake ndiyo iliwateua? Hawa ma-DED si wateule wa Mwenyekiti wa chama tawala -- CCM -- kwa nini Tume inataka kutufanya Watanzania mafala?
sisi kujiuzulu kwake hakutatusaidia ,sisi tunataka wabunge wetu walioibiwa kura majimboni wapate haki zao, na tunataka uchaguzi wa uraisi urudiwe maana huu ni upumbavu, etii ajiuzulu amalize matatizo yetu kwanza ndooo aende kufilia mbali kujiuzulu . mi napata hasira sana hii nchi washafanya yao