PostGE2025 Makame: Ikionekana Rais abakishiwe mamlaka yake ni sawa, wakisema yapunguzwe sawa, na hata wakisema aongezewe kwangu ni sawa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
“Ikionekana Rais abakishiwe Mamlaka aliyonayo kwangu ni sawa, wakisema apunguziwe kwangu ni sawa, na hata wakisema aongezewe zaidi kwangu ni sawa tu” Dr. Makame, Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki kupitia cha Mapinduzi CCM.
Your browser is not able to display this video.
 
Kwamba kwake

YES na NO ni sawa sawa.

Amefikafikaje kuwa mbunge?
 
Daaah
Kuna watu wajinga
Yaaan hicho kichwa kinaonesha kipo empty ndani halafu ni Dr
Labda wa kienyeji
 
Hawa wajinga wajinga ndio wanatakiwa kupuuzwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…