Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Dkt. Abdallah Makame (CCM), amesema kuwa hana ufahamu wa chanzo cha matukio ya Oktoba 29, lakini ni kweli kuwa kulikuwa na watu waliokuwa wakitembea na mabegi ya mgongoni yaliyojaa mabomu ya petroli yaliyotumika kuchoma magari.
Ameeleza kuwa hadi sasa bado kuna baadhi ya magari yaliyoteketezwa ambayo hayajasogezwa, na taarifa hizo zinatokana na maelezo ya mashuhuda wa matukio hayo.
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Dkt. Abdallah Makame(CCM) amesema kuwa sakasaka lililotokea wakati wa uchaguzi mkuu Oktoba 29 na siku zilizofuata, kuna watu walikuwa wanatembea na mabegi yaliyojaa mabomu ya petroli kwa ajili ya kuchoma magari.