Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Kongamano hilo muhimu kuadhisha miaka 57 ya Muungano litafanyika Aprili 26, 2021 kuanzia saa 3 asubuhi Ukumbi wa Chimwaga Dodoma
www.jamiiforums.com
Chato: Rais Magufuli atoa salamu za maadhimisho ya miaka 56 ya Muungano. Asamehe wafungwa 3,973
Rais wa Jamhuri wa muungano wa Tanzania ametoa salamu za maadhimisho ya miaka 56 ya Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibari yanayotarajia kuadhimishwa siku ya kesho tarehe 26/04/ 2020. Katika salamu hizo Mh. Rais amewataka Watanzania wote kutumia maadhimisho hayo kutafakari Muungano huo ambao...