Makampuni binafsi na taasisi

Makampuni binafsi na taasisi

Joined
Dec 22, 2018
Posts
15
Reaction score
4
Kuna muda nimejaribu kufikiri kwa upana juu wahitimu wengi wa vyuo vikuu especially wale ambao wanatoka form six yani hawajawahi kuingia mtaani kujua changamoto ya utafutaji, Wanapomaliza chuo wanapata wakati mgumu kuiface Hali ya maisha mtaani na namna watakavyoanza kusurvive huku wakipambana na changamoto ya ajira.
Nafikir ifike mahali watu ,kampuni na taasisi ifike mahali utajaji wa experience kwenye utoaji nafasi za ajira walitizama Hilo ,Mara zote nimeliona Lina wafavour wale ambao walishindwa kwenda form six kwa matokeo yao wakasoma certificate na diploma kuingia kwenye ajira ikiwaacha wale ambao waliendelea na masomo ya secondari ya juu,na kuhitimu chuo kikuu .Watu Hawa wakimaliza they haven't experience Zaid ya ile ya miezi miwili ya internship Kama wahusika mpo humu embu jaribuni kulitizama, experience ilipatikana kwa kujua ulichosoma kina apply vipi kwenye mazingira halisi , Lazima tuwe na makampuni ambayo yanafikiri kwa upana sio kufuata miongozo ya wengine kwa experience ya 5 years telecommunication graduator real[emoji2959]??
 
Back
Top Bottom