Nipo kwenye process ya interview na Bolt kazi. Nimeulizwa swali nimekosa majibu. Hivi makampuni gani huwa wanatumia hizi huduma na Uber/Bolt Corporate?
Hizi zinatumiwa sana na watu wanaomiliki smart phone na wana vielimu kidogo hususani elimu ya juu. Watu hawa hawana usafiri na wanaona aibu kupanda daladala.