Makampuni gani ya usafirishaji yanayotoa internship?

Makampuni gani ya usafirishaji yanayotoa internship?

Mpayo23

Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
5
Reaction score
4
Wapwaa anaefahamu makampuni ys usafirishaji yanayotoa internship na bachelor degree in shipping and logistics management na diploma in logistics and transport management for further information +255620764687 npo dar es salaam
 
CFA both import and export unaweza??
Kama unaweza mtafute uyo alikua anahitaj watu wa aina yako
+255 756 709 405
Nb kama ajira sio internship
500k per mnth ongea nae mwambie jamaa aliekupa namba n mshkaj mko grup moja la strong family
 
Back
Top Bottom