Makampuni haya hayako serious TBL,SBL,BONITE

Makampuni haya hayako serious TBL,SBL,BONITE

LuCKNOVICH

Senior Member
Joined
Jan 22, 2011
Posts
104
Reaction score
11
Nimekuwa na grocery kwa miaka 4 natumia friji na viti vyangu binafsi,kila nikiwaona ma salesman wanazungusha,wanataka kitu kidigo,hadi mabango anayekuletea anakuuliza utanilinda kidogo basi.
Swali ni jukumu la nani kutoa hivyo vitu nini terms and conditions.TBL=Tanzanai Breweries Ltd,SBL=Serengeti 8reweries Ltd.
 
Nimekuwa na grocery kwa miaka 4 natumia friji na viti vyangu binafsi,kila nikiwaona ma salesman wanazungusha,wanataka kitu kidigo,hadi mabango anayekuletea anakuuliza utanilinda kidogo basi.
Swali ni jukumu la nani kutoa hivyo vitu nini terms and conditions.

mdau wala wasikuibie mchana kweupe, nenda ofisini kwao muulizie supervisor wa eneo atakupa, tena ni bure, ila utimize vigezo wanavoitaji kuwa na mauzo makubwa,
 
SBL ndio kampuni ya nini? Au Umechanganya na SBS(Pepsi,mirinda,7up)?
 
SBL-labda alimaanisha Serengeti Breweries Ltd au ...
 
Back
Top Bottom