Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 463
- 1,009
Ifike mahala watu na makampuni na serikali muajiri watu kutokana na uwezo sio jinsia tu ya kuweka wanawake sekta fulani 50/50.
Sidhan kama kuna ubaya wowote watu wa aina yoyote kufanya kazi sehemu fulani; ila iendane na sifa. Kama umesoma udaktari na ukapata asilimia 60% wanawake poa, unesi 80% wanawake poa, upilot au engineer ukapata 90% wanaume pia waache msilazimishe 50/50 when watu hawana sifa.
Unapita kwa makampuni ya simu kama Airtel, Voda sijui Tigo na Halotel; wanawake wamekaa tu kwa technical desks ila ukiwafuata wanakuambia msubirie fulani anakuja au anahudumia wengine; sasa yeye anafanya nn hapo? Si bora akakae kwa desk ya customer care?
Meanwhile yeye yupo busy na simu Insta au Youtube. Umbuzi wa wapi huu? Hata benki na PSSSF ni ujinga huo huo, desks nyingi empty au wanaongea na simu nusu saa au kutoka kwenda uani cjui, etc.
Sipingi wanawake kufanya kazi au sijui kuwaita hawana akili ila tukubali tupo tofauti na ujuzi unatofautiana na kwa sekta tofauti. Tusilazimishe 50/50 kwa kila sekta.