Makampuni tumuunge mkono mkuu wa mkoa Dar es Salaam

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Ni ushari wangu binafsi kwa makampuni tumuunge mkono mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam katika juhudi zake za kulirudishia jiji letu Hadhi yake, mwenye kuweza kuchangia pavement achangie, mwenye kuweza kuchangia vyuma achangie.

Mji wetu unahitaji sana vyuma vya separation kati ya barabara za Magari na watembea kwa miguu, pavement kwa sehemu ambazo zimebomoka, au kubomolewa, alimradi jiji linarudi katika ubora wake na unadhifu wake.

Bado napapigia kelele nyuma ya ofisi za TFF, Karume, haparidhishi kabisa, makampuni yajitokeze na yawe sehemu ya kuunga mkono, juhudi za mkuu wetu wa mkoa, Ndg.Amos makala.

WASALAMU.
 
Mngeainisha sehemu zenye mapungufu ili wahusuka waone wanaweza kusaidiaje!
 
Ni ushari wangu binafsi kwa makampuni tumuunge mkono mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam katika juhudi zake za kulirudishia jiji letu Hadhi yake, mwenye kuweza kuchangia pavement achangie, mwenye kuweza kuchangia vyuma achangie.

Mji wetu unahitaji sana vyuma vya separation kati ya barabara za Magari na watembea kwa miguu, pavement kwa sehemu ambazo zimebomoka, au kubomolewa, alimradi jiji linarudi katika ubora wake na unadhifu wake.

Bado napapigia kelele nyuma ya ofisi za TFF, Karume, haparidhishi kabisa, makampuni yajitokeze na yawe sehemu ya kuunga mkono, juhudi za mkuu wetu wa mkoa, Ndg.Amos makala.

WASALAMU.
Chanzo cha upigaji hicho na Tozo zinafanya kazi gani?
 
Anayemuunga mkono huyo mkuu wa mkoa hana akili.
 
Na kazi ya tozo, kodi na ushuru zote wanazichukua zikafanye kazi gani?
 
Back
Top Bottom