Makampuni ya betting hutoa odds ndogo kwa timu kubwa hatakama inacheza away, uto mkuje hapa

Duh ndio nini sasa umeandika na like umepewa... Kwa hiyo hujui kama odds ni chance ya kushinda hivyo mwenye odds ndogo ndio mwenye chance kubwa ya kushinda..Kwa hiyo Raja kama alikuwa na odds ndogo maana yake alikuwa na chance kubwa ya kushinda.
Kwahiyo kupewa like kumekuuma sana? Ingekuwa mpira wa miguu matokeo yake yanategemea odds basi wanaocheza kamari wangevuna pesa nyingi, timu itapewa chance ya ushindi kutokana na wao walivyoona lakini ukafungwa tu na odds zako. Nilichokiongea pale ni kwamba bookmarkers huwa kwa kawaida huwapa nafasi kubwa ya ushindi timu zilizopo nyumbani pia huwa wanatoa odds kwa kuangalia vitu vingi mfano historia ya uwanja unaotumia.
 
Kwa jinsi Ulivyoandika pale inaonesha hujui odds zina reflect nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…