Makampuni ya IPP NI YAPI?

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Ukiacha IPP MEDIA..
Niko curious kujua makampuni ya IPP ni yapi?

sababu naona karibu yote yamefilisika
au kuna mengine ambayo bado yana operate?
anyone with answers?
 
Si juzijuzi hapa alizindua IPP Gold kule London? Nayo ishafilisika?
 
Mkuu Umecheck na Bonite bottlers- Moshi?
Kwanza bottlers- Dar es salaam?
Tanpack?
Maji ya Shirimatunda?(Kilimanjaro Water)
Palmolive South Africa?
Jubilee Gemstones & Mining
Jubilee Insurance,
Vikoba Saccos?
NBC-Private Banking?
IPP- Gold (Conaco & Doglac Handeni Gold Inc) (Bikwimba Mining)?
IPP- Media.
 

asante ndo nilitaka hiki
Jubilee kumbe ni yake Mengi?
 
Jubilee Insurance owned by Agha Khan na ina-operate Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda na Zambia.
Wana zaidi ya miaka 30 East Africa.


umeona sasa,thanx...
 
The Boss ndio maana nimeomba ufanye clarification hapo ndipo ufahamu wangu ulipogotea.
 
Last edited by a moderator:
Mbali na IPP Media, Ipo Bonite Bottlers, IPP resources Ltd (Mining).

Labda afisilisike kwa sababu ya kuisadia jamii, anajitolea sana Mzee Mengi
 

Tanzanite africa ltd
 

1. Kwanza bottlers Ltd inamilikiwa na cocacola SABCO. labda mengi awe ni shareholder humo.
2. Bonite bottlers inazalisha maji ya kilimanjaro, lakini brand ya kilimanjaro inamilikiwa na cocacola kama ambavyo inamiliki sprite, fanta na zinginezo. bonite ni mzalishaji tu.
3. haya makampuni ya madini IPP gold, handeni gold na nyinginezo ni holding companies tu zinazotumika kushikilia vitalu vya madini (ndio hizi anaongelea Prof Muhongo). Ame-exchange vitalu vya handeni gold kwa Douglas lake mining inc ya Canada yeye amepewa shares. hii document. kumbuka bado hakuna uchimbaji, wanatafuta tu, kwa hiyo hizi kampuni haziingizi mapato na thamani yake ni ndogo sana kwa sasa. Douglas lakes minerals nimecheck zamani ilikuwa inatrade kwa vijisenti vidogo kweli kwenye range ya dola 0.0...
4. NBC-private banking? what do you mean?. Private banking ni huduma ya kibenki, sidhani mtu anaweza kumiliki kitengo cha benki ila ownership ya NBC Tanzania ni:
  • ABSA Group Ltd. (Barclays Africa Group Limited) 55%

  • Government of the Republic of Tanzania 30%

  • International Finance Corporation 15%
5. Jubilee insurance ni kina Aga-khan.
 

Sasa kama ndo hivi sasa utajiri wake wote unaosemwa unatokana na nini hasa? au ni utajiri wa exagaguration?
 
itv company ambayo ni itv, radio one, capital tv &radio, eatv na radio
the guardian limited i.e the guardian news paper, nipashe nk
bonite bottlers inayozalisha soda, maji ya kilimanjaro
anamiliki hisa nyingi sana sehemu mbalimbali mfano CRDB anahisa nyingi kiasi kwamba nae n mmoja wa wanaounda bodi ya wadhamini(anawakilishwa na ms joyce luhanga), nk
 
Sasa kama ndo hivi sasa utajiri wake wote unaosemwa unatokana na nini hasa? au ni utajiri wa exagaguration?
i suspect the $150mil net worth is an exaggeration.
 
Kampuni iliyo hai na inafanya vizuri ni BONITE tuu!Zingine ni za mfukoni ujanja ujanja tuu wa mzee MENGI!huwa najiuliza wanampa tuzo kwa biashara gani huyu mzee?maana hata benki hakopesheki
 

How em tufumbue macho kidogo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…