Makampuni ya Kenya yaanza mikakati ya kuwekeza Nigeria

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hii EAC na SADC imekua ndogo, inabidi kupaa sasa maana Afrika patamu kweli kweli...

Developer Rendeavour’s ambitious seven-city development scheme last week received fresh impetus with opening of the first manufacturing unit at Alora City, Lagos, as two major Kenyan manufacturers affirmed they will be investing at the site.

Kenyan Ariel Foods commissioned the first-ever investment—billed to be Africa’s largest of its kind—at the Lekki free zone east of Lagos while Unity and Universal homes announced their debut.

Ariel, which owns a similar nutritional plant in Kenya supplying UN agencies while sourcing peanuts from Kakuma refugees, announced Ishtar Chandaria as the CEO of the facility. He is the son of chairman Dhiren.

Rendeavour is locally the developer of the Tatu City on the Northern Bypass, Nairobi and has lined up such developments in five sub-Saharan countries including DR Congo (Kiswishi), Ghana (Appolonia) and Zambia (Roma Park) on 12,000 hectares. Apart from homes and industrial parks, the developments include educational and health facilities.

The Alora, a joint undertaking with Lagos State, unlike the Nairobi one located in a relatively developed suburb will involve extensive infrastructure building including a 54-kilometre expressway to a new Freeport on the Atlantic Ocean.

The road from Lagos itself is currently due for repair after Dangote Group trucks caused massive damage during building of a plant.

Lagos plans to use Alora as gateway to West Africa. Apart from the free economic benefits that are like Kenyan ones, the state government has been keen to sell Nigerian World Bank ranking at 131 for ease of doing business. Kenya is ranked 56.

But Dhiren told the opening ceremony that Nigeria, Africa’s largest economy, practically is far much better than ranked and appreciated the cooperation from various levels of government.

“I received several warnings not to go to Nigeria…I was afraid at first when I saw them arguing,” said the entrepreneur whose firm is just one of the locals that have expressed interest in the city.


 
Mlichukua risk bila ya kutafakari matokeo yake sasa mnalia. Ndiyo maana nikasema hao wanaija muwe makini.

Nani amelia na wapi, tatizo mnakaririshwa vya vijiweni huko na kuviamini kushinda hata maandiko ya kwenye vitabu vya dini, hamna mradi unatufaidi Kenya kama huu wa SGR. Kenya pekee yake ndio taifa ukanda wote huu yenye reli ya mfumo wa SGR. Nyie huko mlijaribu kujitutumua mshindane na sisi, leo mumeishia kuahirisha ahirisha hata hamufahamiki mko wapi na mnafanya nini, ni kama imeshindikana kabisa na mumeshindwa kusema.
 
Wakikuyu hamuwawezi wanaija, watawaliza muda si mrefu.

Wanaijeria ukishirikiana nao bila kuwaogopa utakwenda freshi tu, tatizo lenu kubwa ni ujamaa, uliwafanya Watanzania muwe waoga na wazembe sana, ila huwa sielewi kwanini Wachagga hawakuathirika na huo ujamaa, au labda ni kwa vile wamepakana na Wakenya na pia mlima Kilimanjaro ulikua wa Kenya.
Maana Wachagga ndio Watanzania pekee ambao tunapishana nao kote kote mpaka kwenye mataifa hatari kama Sudan na Somalia.
Jamaa wajasiri sana mithili ya Kikenya, na isingekua kwa hao, nchi yenu ingekua nyuma sana kiuchumi
 
Kilimanjaro or bust… kong'ole jirani
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamdanyanya nani, shemeji zangu kwao Naivasha, mpaka leo wananiambia reli haijafika.
Wanaijeria ukishirikiana nao bila kuwaogopa utakwenda freshi tu, tatizo lenu kubwa ni ujamaa, uliwafanya Watanzania muwe waoga na wazembe sana,
Hivi huo ujanja wenu umewafikisha wapi, mbona wengi wenu ni masikini tuu kama waafrika wengine?
Uchagani ardhi ni ndogo sana, hivyo ilibidi fursa itafutwe mahali pengine.
 
Unamdanyanya nani, shemeji zangu kwao Naivasha, mpaka leo wananiambia reli haijafika.
Usitegemee taarifa za mashemeji, inawezekana wanakuambia unachotaka kuskia, kawaida kwa mlivyo na roho ngumu huwa mnapenda kuskia mabaya, hivyo wanakusogesha tu.
Soma takwimu SGR profits rise to Sh8.8 billion from Sh3.7 billion in 2019 - Capital Business

Hivi huo ujanja wenu umewafikisha wapi, mbona wengi wenu ni masikini tuu kama waafrika wengine?
Hatupo ndani ya LDC kama nyie mnaotujazia maelfu ya omba omba huku.

Uchagani ardhi ni ndogo sana, hivyo ilibidi fursa itafutwe mahali pengine.
Wachagga tunaopishana nao huku hawanunui ardhi, wanapiga biashara na kila Desemba huondoka kwenda kwao, hivyo ina maana tatizo lao sio ardhi. Uzuri wao sio omba omba kama nyie wengine mliojazana huku.
 
Wachina waliwaingiza mjini na wewe unafahamu, ni sawa na kusema wamewaletea kichupa kilishong'arishwa wakiwadanganya ni almasi na nyinyi mkakinunua. Wamepaka rangi michuma ya zamani (treni) na kuwajengea vituo vikubwa vya vioo na nyinyi mkakubali kuingia kichwa kichwa. Wakina Ruto na Uhuru hawaumii ila wewe na wanaokuzunguka mtakuja kulipa gharama hizo miaka na miaka.
Hatupo ndani ya LDC kama nyie mnaotujazia maelfu ya omba omba huku.
Hiyo ipo kwenye karatasi tuu, serikali yenu inashindwa hata kulisha wananchi wake.

Wachagga tunaopishana nao huku hawanunui ardhi, wanapiga biashara na kila Desemba huondoka kwenda kwao, hivyo ina maana tatizo lao sio ardhi. Uzuri wao sio omba omba kama nyie wengine mliojazana huku.
Ardhi hawanunui kwasababu ardhi yote inamilikiwa na mafisadi.
 
Hii ni nadharia unahangaika kuandika insha, sisi tunasafiri kwa SGR, mizigo tunabeba kwa SGR, nyie bado mnachmba chimba mkisema mnajenga SGR.

Hiyo ipo kwenye karatasi tuu, serikali yenu inashindwa hata kulisha wananchi wake.
Sio jukumu la serikali kulisha wananchi, najua hili utashindwa kuelewa maana nyie kwenu ujamaa uliwafanya muwe na hulka ya kuomba omba, serikali husaidia tu pale kumetokea majanga kama ukame, ambalo hutokea Kenya maana zaidi ya nusu ya Kenya ni kame tupu.
Ardhi hawanunui kwasababu ardhi yote inamilikiwa na mafisadi.
Uwekezaji sio lazima utumie ardhi, kuna watu tunapiga mishe na kutengeneza hela mwaka unaisha hatujashika jembe, mimi muda huu 22:00pm ndio naanza kazi, nitakesha hadi asubuhi nikifanya kazi, wala siwazi mambo ya ardhi au kulima shambani, lakini mezani nina matunda, mboga mboga, kahawa na vyote vinavyozalishwa na walio na 'ardhi'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…