Makampuni ya kubashiri/betting

Kerosine Bal

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
247
Reaction score
231
Waungwana Kristu/Asalyaleykum....

Waungwana mi ni mgeni kiasi katika biashara hii ya kubeti.

Naombeni mnijuze kampuni gani zuri kwa ajili ya kubet ni lini? Kati ya MBET, SPORTPESA, MERIDIAN na mengineyo.
 
Kama unajifunza unaweza kuanza na mbet iko simple, few odds option limited games

But kama ni mzoefu nenda 1xbet, meridian or premierbet kwa matajiri wa options na games hadi za machangani
 
Ingia jukwaa la sports and entertainment then Ingia sports utakutana na WAZEE WENZANGU WA KUWEKA MZIGO/KUBET NJOO TUBASHIRI MECHI ZA LEO. hapo utapata kila ukitakacho na hata mikeka unaweza kuwekewa but Kama ni siku ya kuliwa utaliwa tu
 
Sio mchezo mzuri Kwa afya yako na malezi bora ya family maana ukisha uelewa kurudi nyumbani na matunda itakuwa mtihani Sana au ukibeba basi ni machungwa ya 500/ ili elf 3 ukatoe mkeka!!
Piano kuna plan nyingi kwa wanao bet mfano. Kuna ambae anataka odds ya 5 aweke Laki 1 apate laki 5,kuna anayetaka kuweka 500 apate MIL 18( Ndoto za alinacha) SIJAJUA PLAN YAKO UNAPOTAKA KUINGIA KATIKA BIASHARA HII AMBAYO NI PENDWA SANA KWA VIJANA BUT SIO NZURI KWA AFYA ZAO
 
Plan ni kufanikiwa tuu na biashara.
 
Nenda gal sport betting

Hawa jamaa kibongo bongo sion anayemfikia kwa option na odds na bonus nzuri

Huyu anakimbizana na 1Xbet,

Tatizo 1xbet ina mlolongo mrefu kwenye kujiunga
 
M bet, mkeka bet, premierbet hawa ni wez

Picha linaanza ,wana kulimit idadi ya mech za kubet,

Kwenye list huwekewi mech zote ,mech nying ni zenye risk ya kupigwa,

Lkn kwa 1x bet au Galsport bet hawa jamaa kwanza ni wazungu , wapo fair wapo WIN WIN SITUATION

sasa nenda makampuni ya wahindi au weus wenzetu, kula ni majaaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…