Makampuni ya mafuta kwa job seekers wote

unaweza kunisaidia nikajoin nayo nakuweza kufanya kazi humo jaribu kuniulizia then nijulishe niweze kujua sifa wanazotaka
 
izo kaz ni za kiulinz kwel kwel au hata wadada twaweza fanya?
 
Kiswahili ni lugha tamu sana lakini watu wachache mwaiharibu....."Gali" ndio nii?@ asigwa.:lol:
 
Ingekuwa Poa Ungeweka Contacts Zao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…