Makampuni ya Magari hutengeneza Engine/Gear box mpya kama spare?

Makampuni ya Magari hutengeneza Engine/Gear box mpya kama spare?

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
8,647
Reaction score
9,604
Makampuni ya kutengeneza magari hutengeneza Engine au Gear box mpya kwa ajili ya spare kwa magari yatayoharibika?
Biashara nyingi hufanyika kwa engine na gearbox used! Kama hawatengenezi ni kwa nini?
 
Weka oda kwenye kampuni ya gari unayoitaka wakuletee mpya ila bei mkasi
 
Back
Top Bottom