kidadari JF-Expert Member Joined Jul 26, 2012 Posts 8,647 Reaction score 9,604 Nov 3, 2020 #1 Makampuni ya kutengeneza magari hutengeneza Engine au Gear box mpya kwa ajili ya spare kwa magari yatayoharibika? Biashara nyingi hufanyika kwa engine na gearbox used! Kama hawatengenezi ni kwa nini?
Makampuni ya kutengeneza magari hutengeneza Engine au Gear box mpya kwa ajili ya spare kwa magari yatayoharibika? Biashara nyingi hufanyika kwa engine na gearbox used! Kama hawatengenezi ni kwa nini?
EINSTEIN112 JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 21,711 Reaction score 35,644 Nov 3, 2020 #2 Weka oda kwenye kampuni ya gari unayoitaka wakuletee mpya ila bei mkasi
kidadari JF-Expert Member Joined Jul 26, 2012 Posts 8,647 Reaction score 9,604 Nov 3, 2020 Thread starter #3 EINSTEIN112 said: Weka oda kwenye kampuni ya gari unayoitaka wakuletee mpya ila bei mkasi Click to expand... Mpaka oda tena mkuu mbona vifaa vingine wanatengeneza mkuu
EINSTEIN112 said: Weka oda kwenye kampuni ya gari unayoitaka wakuletee mpya ila bei mkasi Click to expand... Mpaka oda tena mkuu mbona vifaa vingine wanatengeneza mkuu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Nov 3, 2020 #4 Wanatengeneza hizo parts kwa order only... Cc: mahondaw
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 19,257 Reaction score 12,244 Nov 4, 2020 #5 kidadari said: Mpaka oda tena mkuu mbona vifaa vingine wanatengeneza Click to expand... Engine na gearbox ni aghali sana, tofauti na taa ,hub,disk nk na life span ni tofauti
kidadari said: Mpaka oda tena mkuu mbona vifaa vingine wanatengeneza Click to expand... Engine na gearbox ni aghali sana, tofauti na taa ,hub,disk nk na life span ni tofauti