M MillionaireMan Senior Member Joined Jul 20, 2022 Posts 156 Reaction score 237 Apr 28, 2023 #1 Nataka kufahamu iwapo makampuni ya magazeti yanapata faida? Pia, wanaanzaje kwa mfano? Nataka kufahamu!
Nataka kufahamu iwapo makampuni ya magazeti yanapata faida? Pia, wanaanzaje kwa mfano? Nataka kufahamu!
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 40,828 Reaction score 99,523 Apr 28, 2023 #2 MillionaireMan said: Nataka kufahamu iwapo makampuni ya magazeti yanapatata faida? Pia, waanazaje kwa mfano? Nataka kufahamu! Click to expand... Nafikiri bado wana uza hard copies kwa cash, na wana uza online pia kwa wateja kununua bando.
MillionaireMan said: Nataka kufahamu iwapo makampuni ya magazeti yanapatata faida? Pia, waanazaje kwa mfano? Nataka kufahamu! Click to expand... Nafikiri bado wana uza hard copies kwa cash, na wana uza online pia kwa wateja kununua bando.
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 33,679 Reaction score 49,841 Apr 28, 2023 #3 Kwa sasa mauzo si makubwa, wengi wameamia online