Tanzania imepiga hatua kubwa sana kwenye digital payments. Kuna makampuni mengi sasa yanatoa huduma za
malipo ya kidigitali, API integration, na hata disbursement kwa makampuni na wajasiriamali wadogo.
Baadhi ya makampuni yaliyopo sasa ni:
- ClickPesa
- Celcom Pay
- Pesapal
- DPO
- AzamPay
- Zenopay
- SwahiliPay
- Flutterwave
- PawaPay
- EasyPay
Je, umeshatumia yoyote kati ya hizi? Ulikutana na changamoto gani? Na kama wewe ni developer au mmiliki wa biashara, unashauri lipi?