Kranium
Senior Member
- Oct 20, 2014
- 130
- 376
Salaam wadau...
Ni muda mrefu nimekuwa nikiona wanafunzi wa elimu ya juu wakilalamika kuhusu pesa ya kujikim "boom" haitoshi. Pengine inatokana na matumizi makubwa na yasiyo na ulazima. Mara nyingi pesa imekuwa ikiwaishia kabla ya kipindi kilichopangwa, matokea yake wengi wao wamekuwa wakipata shida ya chakula hata kutohudhuria vipindi kwa sababu ya njaa.
Katika kuwaza na kuwazua nikaja na wazo hili: Inawezeka makampuni ya simu yakaandaa card maalum (coupon) ya kielectronic mfano tuiite jina MSOSI CARD afu ikawa inalipiwa kwa MPESA, TIGOPESA, AIRTEL MONEY kwa miezi miwili miwili na mashine za kuchanjia(swipe) zikawekwa kwenye canteen na migahawa ya karibu na chuo.
Naamini hii itakuwa biashara nzuri itakayonufaisha pande zote.
Nakaribisha maoni