Makampuni ya simu, fanyieni kazi wazo hili!!!

Kranium

Senior Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
130
Reaction score
376
Salaam wadau...

Ni muda mrefu nimekuwa nikiona wanafunzi wa elimu ya juu wakilalamika kuhusu pesa ya kujikim "boom" haitoshi. Pengine inatokana na matumizi makubwa na yasiyo na ulazima. Mara nyingi pesa imekuwa ikiwaishia kabla ya kipindi kilichopangwa, matokea yake wengi wao wamekuwa wakipata shida ya chakula hata kutohudhuria vipindi kwa sababu ya njaa.

Katika kuwaza na kuwazua nikaja na wazo hili: Inawezeka makampuni ya simu yakaandaa card maalum (coupon) ya kielectronic mfano tuiite jina MSOSI CARD afu ikawa inalipiwa kwa MPESA, TIGOPESA, AIRTEL MONEY kwa miezi miwili miwili na mashine za kuchanjia(swipe) zikawekwa kwenye canteen na migahawa ya karibu na chuo.

Naamini hii itakuwa biashara nzuri itakayonufaisha pande zote.

Nakaribisha maoni
 
Kama tatizo ni kuhakikisha watu wakiishiwa wanaweza pata angalau kupata msosi basi ishafanyiwa kazi japo ni kwa namna tofauti sio ya kadi. Mpesa hyo. Ntaekuelekeza baadae kidogo.
 

JF-Expert Member
#2
A moment ago

New
Kama tatizo ni kuhakikisha watu wakiishiwa wanaweza pata angalau msosi basi ishafanyiwa kazi japo ni kwa namna tofauti sio ya kadi. Mpesa hyo. Ntaekuelekeza baadae kidogo
 
Mkuu wewe ni thinker, usiwaachie mitandao ya simu hili wazo,
Niko tayari tulifanyie kazi mkuu
 
Kama tatizo ni kuhakikisha watu wakiishiwa wanaweza pata angalau kupata msosi basi ishafanyiwa kazi japo ni kwa namna tofauti sio ya kadi. Mpesa hyo. Ntaekuelekeza baadae kidogo.

Kuna namna ya kulipia huduma au bidhaa kutumia simu. Kuna biashara siku hizi zimepata namba ya mitandao unayoweza kulipia huduma au bidhaa kwa kutumia LIPA NAMBA. Na pia kuna feature ishazungumzwa itakuwa inamuuliza mteja anatuma hela kwa ajili ya nin mfn: school fees, kwa hyo nikikutumia hela hyo kwa ajili ya school fees inajilock automatically na huwezi kuitoa kwa wakala itatoka tu kama utalipia school feez kwa kupitia Lipa namba ya shule yenye acc kwa mtandao huo wa simu. Vivyo hivyo itafanyika kwa hela ya chakula tuseme. Kwa hyo kama nikomtumia mtu pesa kwa ajili ya chakula haiwezi kutolewa kwa wakala wa kawaid bali itayoka pale tu napolipia msosi kwa kutumia namba ya malipo ya huo mgahawa. Kwa kufanya hiv mtu hawezi misuse hiyo pesa. Hata akipigika vip hawezi kosa kula. Kuna swali???
 
Nafanyaje kwenye simu yangu sasa, Mwambojoke, au nibonyeze namba ngapi ngapi kuipata LIPA NAMBA !?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…