Makampuni ya simu kuuza hisa January 2017?

Googler

Member
Joined
May 8, 2016
Posts
24
Reaction score
21
Habari wadau,

Kuna tetesi sana mtaani kua makampuni ya simu yameamriwa na serikali kuuza asilimia 25 ya hisa zao na yataanza kufanya hivyo January Mwakani. Je, taarifa hizo ni sahihi? Na iwapo yataingiza hisa, mfumo wa Initial Public Offering (IPO) utatumika au la?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…