Makampuni ya simu mtupunzie sms za matangazo zinatukera wateja sana,sana,sana,

Makampuni ya simu mtupunzie sms za matangazo zinatukera wateja sana,sana,sana,

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
1,108
Reaction score
1,132
Habari,
Sms za matangazo,promition,nk zimezidi sana,sana na nikero kwa wateja kwa siku mteja anapokea zaidi ya sms 20 kwa namba zake tofauti ukicheki unakuta ni matangazo ya bima,kamari,muziki,mataperi,polisi,nhif,bahati nasibu,nk.

Hivi tumenunua simu kwa ubia na mitandao ya simu?

Yaani sms zimekuwa fujo kwa wateja tunaomba tcra walifanyie kazi hili ikiwezekana kuwe na option y matangazo kwa mitandao yooooote.
 
Hawa Airtel wanakutumia sms yamtu mara mbili mbili unaweza mjibu mtu saiz badae inaingia tena kesho hiyo inatumwa tena
 
Back
Top Bottom