Tumia Airtel hata bila kujiunga sms moja ni one shYou have used approximate 75% of your 20 SMS. Your SMS balance is 5 SMS.
Halafu hapo awali kifurushi cha buku ulikuwa anapata sms za kumwaga sasa leo hali iko ivo unapata sms mbau.
Kifurushi chenyewe iko hapo.
Una Dak 150 kupiga simu mitandao yote, SMS20 na GB1 kutumika hadi.
Kweli kabisa, usipojiunga gharama nafuu zaidi...Tumia Airtel hata bila kujiunga sms moja ni one sh
Hiyo ni haki ya mteja (mtumiaji huduma ktk mitandao) kama ilivyo kwa abiria kutoka kwa msafirishaji, kondakta anapaswa kutangaza kituo na kusimamisha bus kituoni hata kama hakuna abiria anaeshuka.You have used approximate 75% of your 20 SMS. Your SMS balance is 5 SMS.
Halafu hapo awali kifurushi cha buku ulikuwa anapata sms za kumwaga sasa leo hali iko ivo unapata sms mbau.
Kifurushi chenyewe iko hapo.
Una Dak 150 kupiga simu mitandao yote, SMS20 na GB1 kutumika hadi.
Mimi kuna hili huwa linanishangaza sana kwa mfano unanunua 20gb kwa mwezi, kama hujazitumia because ni mali yako uliyonunua naamini inapaswa kuwa carried forward kwa mwezi unaofuata ila cha ajabu sasa makampuni ya simu hayatekelezi hayo, lakini ikija kwao pengine umetumia zaidi 20gb ulizonunua kwao watalamba hata balance yako iliopo kwenye simu, honestly this is not fair for any language, kwamba wao ndio tu wenye haki ya kukudhulumu wakati kifurushi kimeisha kabla ya mwezi lakini wewe huna haki kama kifurushi chako hakijaisha, like umebakiwa na bundle ya 15gb kabla ya mwisho wa mwezi,kifurushi ambacho umenunua kwao ila wao wana haki hata kama umetumia 5gb ku confiscate your 15gb ,this is not fair at allYou have used approximate 75% of your 20 SMS. Your SMS balance is 5 SMS.
Halafu hapo awali kifurushi cha buku ulikuwa anapata sms za kumwaga sasa leo hali iko ivo unapata sms mbau.
Kifurushi chenyewe iko hapo.
Una Dak 150 kupiga simu mitandao yote, SMS20 na GB1 kutumika hadi.
Na salio linabakia kuwa la kudumu no expiry dateKweli kabisa, usipojiunga gharama nafuu zaidi...
Unachokisema, Halotel walianzisha utaratibu huo wa kuhifadhia wateja vifurushi vyao.Mimi kuna hili huwa linanishangaza sana kwa mfano unanunua 20gb kwa mwezi, kama hujazitumia because ni mali yako uliyonunua naamini inapaswa kuwa carried forward kwa mwezi unaofuata ila cha ajabu sasa makampuni ya simu hayatekelezi hayo, lakini ikija kwao pengine umetumia zaidi 20gb ulizonunua kwao watalamba hata balance yako iliopo kwenye simu, honestly this is not fair for any language, kwamba wao ndio tu wenye haki ya kukudhulumu wakati kifurushi kimeisha kabla ya mwezi lakini wewe huna haki kama kifurushi chako hakijaisha, like umebakiwa na bundle ya 15gb kabla ya mwisho wa mwezi,kifurushi ambacho umenunua kwao ila wao wana haki hata kama umetumia 5gb ku confiscate your 15gb ,this is not fair at all
You have used approximate 75% of your 20 SMS. Your SMS balance is 5 SMS.
Halafu hapo awali kifurushi cha buku ulikuwa anapata sms za kumwaga sasa leo hali iko ivo unapata sms mbau.
Kifurushi chenyewe iko hapo.
Una Dak 150 kupiga simu mitandao yote, SMS20 na GB1 kutumika hadi.
Hii ni dalili kwamba tunakoelekea tunaenda kununua vifurushi vya sms.Mtandao gani huu? Naona kama wamekupendelea sana.
Kuna mtandao nilikuwa naangalia vifurushi mpk kifurushi cha 10000 unapewa meseji 20.
Hii ni dalili kwamba tunakoelekea tunaenda kununua vifurushi vya sms.
Mtandao gani buku gb1You have used approximate 75% of your 20 SMS. Your SMS balance is 5 SMS.
Halafu hapo awali kifurushi cha buku ulikuwa anapata sms za kumwaga sasa leo hali iko ivo unapata sms mbau.
Kifurushi chenyewe iko hapo.
Una Dak 150 kupiga simu mitandao yote, SMS20 na GB1 kutumika hadi.
Hicho ni cha 2000 ile buku nilitolea mfano tu.Mtandao gani buku gb1
Hakuna ulinganifu kabisa wanatuandaa kijanja kuanza kununua smsYaani Sms zinawahi kuisha kabla ya dakika kweli kiboko kwa kifurushi cha wiki hata mwezi sijui wanatoa sms ngapi?