Conwel Ngani
Senior Member
- Sep 16, 2018
- 134
- 149
Leo siku ya tatu nina experience low speed ya internet, awali nilidhani nilijua shida ni airtel nayotumia nikaunga voda bado nikapata tatizo lile lile. Nilipouliza na wengine malalamiko ni hayo hayo.
Vipi kwako hali ikoje? Kama sote iko hivyo je ni maagizo ya TCRA? Maana juzi niliona wanazungumzia kasi kubwa ya mtandao inamaliza MB haraka.
Vipi kwako hali ikoje? Kama sote iko hivyo je ni maagizo ya TCRA? Maana juzi niliona wanazungumzia kasi kubwa ya mtandao inamaliza MB haraka.