deecharity
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 932
- 506
Habari wakuu, baada ya kuvutana kwa mabishano ya hoja hapa tulipo nimeona nije JF kuuliza kuhusu hili.
Hivi kampuni yoyote ya simu ina uwezo wa kurekodi maongezi ya kila mteja wake kwa simu anazopiga au kupigiwa (maongezi)? Yaani hata zile simu za salam, au wanachukua hatua ya kurekodi tu pale inapohitajika.
Nilichokuwa najua mimi binafsi ni kuwa wana uwezo wa kupata msg zote na kujua namba fulani ilimpigia fulani na wakaongea kwa dakika kadhaa, na kama wanarekodi simu zote za maongez na sauti je wanatumia teknolojia gani kutunza kumbukumbu ya hizo audio?
Nawasilisha, anaefahamu zaidi tunaomba elimu..