deecharity
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 932
- 506
Wanarekodi, na zinatumika ikiwa Kuna shida ya uvunjifu wa amani kufatilia kila kitu
Zinakaa muda gani?Wanarekodi na zinatumika ikiwa Kuna shida ya uvunjifu wa amani kufatilia kila kitu
Milele..na tcra rekodi zipoZinakaa muda gani?
Muda ni siku 90 ningekupa ufafanuzi hapa ila ni mada ndefu kidogo.Zinakaa muda gani?
Siyo kweli...Wanarekodi na zinatumika ikiwa Kuna shida ya uvunjifu wa amani kufatilia kila kitu
[emoji817] trueSiyo kweli...
Wanarekodi "Keywords" tuu...
Wameset words capture yao ambayo whenever it hears set words basi inafuatilia na kurekodi hayo mazungumzo..
Huyu Pegasus anapenya hadi kwenye viswaswadu/semu za batani?Kampuni za simu hawarekodi. Ila kuna contractor wa Israel anaitwa Pegasus anatumiwa na nchi nyingi Duniani kufuatilia mawasiliano ya watu maalum.
Ni kweli kabisa.Wanarekodi na zinatumika ikiwa Kuna shida ya uvunjifu wa amani kufatilia kila kitu
Unarekodiwa hata sms huwa zinatunzwa kwenye server.Imewahi kutusaidia sana wakati tunamsaka mwizi wetu.Tulienda kwanza Polisi kuchukua loss report na kufungua RB,kisha tukaenda Vodashop aah!!,mbona kilieleweka.Habari wakuu, baada ya kuvutana kwa mabishano ya hoja hapa tulipo nimeona nije JF kuuliza kuhusu hili.
Hivi kampuni yoyote ya simu ina uwezo wa kurekodi maongezi ya kila mteja wake kwa simu anazopiga au kupigiwa (maongezi)? Yaani hata zile simu za salam, au wanachukua hatua ya kurekodi tu pale inapohitajika.
Nilichokuwa najua mimi binafsi ni kuwa wana uwezo wa kupata msg zote na kujua namba fulani ilimpigia fulani na wakaongea kwa dakika kadhaa, na kama wanarekodi simu zote za maongez na sauti je wanatumia teknolojia gani kutunza kumbukumbu ya hizo audio?
Nawasilisha, anaefahamu zaidi tunaomba elimu..
Not true, fuatilia tenaLitambue hili:
Cho chote unachokifanya kwa kutumia simu yako kinarekodiwa na kutunzwa kwa kipindi kisichozidi miaka mitatu. Likumbuke hili kila unapopiga simu au kuporomosha matusi mitandaoni humu. Na kama ni picha au video hizo zinaweza kukaa hata milele. Ndo maana wakasema the internet never forgets!
That's a general warning. There are exceptions, of course. But that's my MO when I am online. They are always watching!Not true, fuatilia tena
Where is the truth, chief?Not true, fuatilia tena
Yeah!Huyu Pegasus anapenya hadi kwenye viswaswadu/semu za batani?