Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,092
- 5,386
Napendekeza makapuni ya simu yaweke huduma ya kufuta ujumbe wa meseji (text) zilizokosewa; mfano ndani ya sekunde 15 au pengine kabla haujasomwa.
Nimependekeza hivi baada ya kuona watu wanavyo pata wakati mgumu pale wametuma meseji kwa makosa; mf:
WhatsApp, Skype nk wanayo hiyo huduma nafikiri ni wakati muafaka wa kuboresha meseji (tests).
Nawasilisha!!!
Nimependekeza hivi baada ya kuona watu wanavyo pata wakati mgumu pale wametuma meseji kwa makosa; mf:
- Mtu huweza kukosea na kumtumia bosi wake meseji ya mpenzi wake
- Na nyingine nyingi
WhatsApp, Skype nk wanayo hiyo huduma nafikiri ni wakati muafaka wa kuboresha meseji (tests).
Nawasilisha!!!