Deleting for both....baada ya kutuma text...Mmmh unazungumzia mambo ya Auto correct na text prediction au? Hii si unaweza kuweka On au Off kwenye smartphone yako au sijakuelewa vizuri mkuu
Msome tena vizuri.Mmmh unazungumzia mambo ya Auto correct na text prediction au? Hii si unaweza kuweka On au Off kwenye smartphone yako au sijakuelewa vizuri mkuu
Deleting for both....baada ya kutuma text...
Naona una kaimu nafasi yako ipasavyo...[emoji6][emoji854]
Delete for everyone kumbe? 🤔🤔Msome tena vizuri.
Ndio maana hukumuelewa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]...viswaswadu(msamiati mpya)[emoji854][emoji6]Delete for everyone kumbe? [emoji848][emoji848]
Tunaotumia viswaswadu itakuwaje maana naona kama anawalenga wa smatifoni
Ahaaa kumbeMwenye uwezo huo ni aliyetengeneza Message application na sio mtandao wa simu. Na hapo nadhani inabidi wote mtumie application moja.
Mawazo yangu tu
Eeeh nimeshamuelewa ndio maana pale juu nikasema au ni mimi sijakuelewa? Ila fresh tunadunda na viswaswadu/Nokia torch zetu zinatusevuNdio maana hukumuelewa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]...viswaswadu(msamiati mpya)[emoji854][emoji6]
Good idea.Napendekeza makapuni ya simu yaweke huduma ya kufuta ujumbe wa meseji (text) zilizokosewa; mfano ndani ya sekunde 15 au pengine kabla haujasomwa.
Nimependekeza hivi baada ya kuona watu wanavyo pata wakati mgumu pale wametuma meseji kwa makosa; mf:
Nafikiri kwa kufanya hivyo, kungekuwa ni maboresho muhimu ya huduma kwani yange epusha changamoto za kazi na za kifamilia zisizo kuwa na ulazima.
- Mtu huweza kukosea na kumtumia bosi wake meseji ya mpenzi wake
- Na nyingine nyingi
WhatsApp, Skype nk wanayo hiyo huduma nafikiri ni wakati muafaka wa kuboresha meseji (tests).
Nawasilisha!!!