Tetesi: Makampuni ya ulinzi na NETO

Tetesi: Makampuni ya ulinzi na NETO

Captain 22175

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2018
Posts
249
Reaction score
407
Huu muunganiko ulioanza leo baina ya huu umoja wa makampuni ya ulinzi na hawa vijana wa NETO hakika unatia shaka na uzingatiwe.

Naona kasi ya mahusiano yao imekuwa kubwa na hasa ukizingatia ya kwamba tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu.

Support wanayowapa vijana kifedha ili wawe wanafanya press kila siku sio ndogo
 
Hao vijana watafanikiwa kama wanaweza kuwa genuine maana movement ya wakosa ajira nchi yoyote huwa ina nguvu na inaweza kuangusha serikali.

Hao wataweza tu endapo wakihakikisha CCM haipandikizi mamluki wake humo wakawa wanapeleka taarifa za kimkakati , hii mbinu aliiweza Steven Ulimboka aliweza kuorganize na kupotea siku 3 ila movement ikawa inaendelea kuwa moto hata bila ya madaktari kujua yuko wapi hadi pale walipomtumia yule mhuni kupitia namba yake fulani ambayo ni watu wachache sana walikuwa nayo baada ya kutrace mawasiliano ya nyuma ndio wakamtesa na kumtupa msituni.

Hao vijana wakiweza kuchuja mapandikizi mission yao itafanikiwa kinyume na hapo watagawanywa kwa hongo na watasalitiana.

CCM ni hatari kama kansa.
 
GenZ
sio tu kutaka ajira, hadi ktk siasa wanatakiwa kizaz kilichozaliwa new millenium kishike madaraka

sio kila siku watu walewale mara makamba, wasira, kinana, kwan wengine hawapo?
 
Back
Top Bottom