Nkarahacha
Member
- Oct 3, 2023
- 17
- 38
Kampuni zilizokuwa zikitoa mikopo kwa wananchi bila vibali na kwa riba kubwa zinapaswa kushitakiwa kwani walichokuwa wakikifanya ni utapeli kama utapeli mwingine.
Pia kwanini utapeli na wizi vimeongezeka kipindi hiki cha serikali ya awamu ya sita? Je,wahusika wa hizi kampuni wanaweza kuwa vigogo serikalini?
Pia kwanini utapeli na wizi vimeongezeka kipindi hiki cha serikali ya awamu ya sita? Je,wahusika wa hizi kampuni wanaweza kuwa vigogo serikalini?