Makampuni yepi ya kuchapa vitabu? yeyote anayejua, yale ya bei ya chini?

Hute

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,537
Reaction score
6,472
jamani, nina shida ya kupublish kitabu, kimeshaandikwa na kueditiwa, tatizo natafuta kampuni ya kuchapisha vitabu itakayofanya kwa bei ya chini kabisa, kama kuna mtu anayeyafahamu makampuni hayo naombeni anielekeze ni yepi, kwa wazoefu wa kutunga na kuchapisha vitabu vya kuuza wanaweza kutoa uzoefu wao hapa pia ili pamoja na mimi wengine humu ndani wafaidike...asanteni sana.
 
Go India.hapa Tanzania all are expensive
how expensive is that...india nikijumlisha na nauli ya kwenda na kurudi, kukaa hotelini...etc....r u serious?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…