Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Ona hiyo Dawa inaonyesha imetengenezwa Mwaka April 2016 Hata huo Mwaka Hatujaufika ndio Kwanza Tupo Mwezi 6 Mwaka 2015 Ahh kazi kweli na Hizi Dawa za Sumu za Kizungu. Tuamkeni na Hizi DAWA ZA sumu Za Kizungu Tutamalizika Jamani. Tutumieni Dawazetu za asili Mitishamba hazinaMadhara Tuache Dawa za Sumu zaKizungu.