Makampuni za dawa za kizungu (DRUG) Jinsi zinavyo tuuwa polepole bila ya kujijuwa sisi tunakufa

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Ona hiyo Dawa inaonyesha imetengenezwa Mwaka April 2016 Hata huo Mwaka Hatujaufika ndio Kwanza Tupo Mwezi 6 Mwaka 2015 Ahh kazi kweli na Hizi Dawa za Sumu za Kizungu. Tuamkeni na Hizi DAWA ZA sumu Za Kizungu Tutamalizika Jamani. Tutumieni Dawazetu za asili Mitishamba hazinaMadhara Tuache Dawa za Sumu zaKizungu.


 

Attachments

  • Kampuni za madawazinavyowauwa watumiaji wa mdawa..jpg
    32.7 KB · Views: 478
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…