C CHIPANJE JF-Expert Member Joined May 1, 2011 Posts 321 Reaction score 53 Jan 3, 2012 #1 Wanafunzi wa chuo cha elimu Udom wamekusanyika utawala mkuu kutaka pesa zao ambazo zimeshafika chuoni,wamesaini lakini hawajalipwa. Makamu mkuu wa chuo adai pesa zitatoka kabla ya Ijumaa.
Wanafunzi wa chuo cha elimu Udom wamekusanyika utawala mkuu kutaka pesa zao ambazo zimeshafika chuoni,wamesaini lakini hawajalipwa. Makamu mkuu wa chuo adai pesa zitatoka kabla ya Ijumaa.
M Maga JF-Expert Member Joined Nov 11, 2010 Posts 329 Reaction score 55 Jan 3, 2012 #3 Uongo uko wapi hapo?
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Jan 3, 2012 #4 Panapofuka moshi kuna moto mkuu nadhani wanafunzi hapo wameshaonana dalili za sanaa za maonyesho.Ijumaa haijafika lakini mkuu siku hizi sanaa mpaka ngazi ya familia ndy maana wanaonyesha wasiwasi wao kwa prof.
Panapofuka moshi kuna moto mkuu nadhani wanafunzi hapo wameshaonana dalili za sanaa za maonyesho.Ijumaa haijafika lakini mkuu siku hizi sanaa mpaka ngazi ya familia ndy maana wanaonyesha wasiwasi wao kwa prof.
M Maiga Member Joined Oct 22, 2011 Posts 59 Reaction score 3 Jan 3, 2012 #5 Mimi nilikuwepo, pale utawala, katoa hlo tamko, tungoje kama ni uongo au la! Ila ,mkuu badili title, mim nilikuwepo ,
Mimi nilikuwepo, pale utawala, katoa hlo tamko, tungoje kama ni uongo au la! Ila ,mkuu badili title, mim nilikuwepo ,
H Hau Member Joined Nov 14, 2011 Posts 24 Reaction score 1 Jan 3, 2012 #6 tutawaekea wachache ili tupunguze malumbano... Na huku pesa ikawa hiko kwenye process
C CHIPANJE JF-Expert Member Joined May 1, 2011 Posts 321 Reaction score 53 Jan 3, 2012 Thread starter #7 Maiga said: Mimi nilikuwepo, pale utawala, katoa hlo tamko, tungoje kama ni uongo au la! Ila ,mkuu badili title, mim nilikuwepo , Click to expand... Wewe kama ni critical thnker utakubal kua kauli za Prof hazkua na ukwel kwa kujikanyaga-kanyaga.
Maiga said: Mimi nilikuwepo, pale utawala, katoa hlo tamko, tungoje kama ni uongo au la! Ila ,mkuu badili title, mim nilikuwepo , Click to expand... Wewe kama ni critical thnker utakubal kua kauli za Prof hazkua na ukwel kwa kujikanyaga-kanyaga.
Opaque JF-Expert Member Joined Oct 24, 2008 Posts 1,359 Reaction score 726 Jan 3, 2012 #8 Sasa si wameshasaini kuwa tayari wameshachukua hela, wanadai nini tena?