Pre GE2025 Makamu Mwenyekiti BAVICHA: Chalamila mimi sio saizi lakini lazima nikujibu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema Elizabeth Mwakimomo, amesema mabadiliko katika nchi hii yataletwa na chadema na kuongezea kuwa Kauli za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ni za kiudhalikishaji kwa wanawake na lina shusha hadhi ya wanawake kwa ujumla.


Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…