Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Habari wadau wa JF.
Wilayani Iramba mkoa wa Singida mambo ni Moto. Shamrashamra zimetawala ktk mji wa Kiomboi ambao ni makao Makuu ya Wilaya kufuatia ziara ya makamu mwenyekiti wa CCM bara, Ndugu Philip Mangula.
Mzee huyu asiyekuwa na makuu hivi sasa anazungumza na wanachama ktk ukumbi wa Halmashauri. Mjumbe moja alisikika akisema huyu mzee hana makuu na pengine mwaka 2025 tusishangae kushuhudia maajabu kama Yale ya 2015 yaliyoacha watu midomo wazi.