Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Kuliko Tanzania.
Jamani,duniani imebadilika, hatupo 1960s or 1970s. This is not newsworthy, achilia mbali kuianzishia uzi humu. Nani mwenye akili zake timamu anataka kufatilia taarifa za mazee ya CCM, haina jipya.Habari wadau wa JF.
Wilayani Iramba mkoa wa Singida mambo ni Moto. Shamrashamra zimetawala ktk mji WA Kiomboi ambao ni makao makuu ya wilaya kufuatia ziara ya makamu mwenyekiti wa CCM bara, Ndugu Philip Mangula.
Mzee huyu asiyekuwa na makuu hivi sasa anazungumza na wanachama ktk ukumbi wa Halnashauri. Mjumbe moja alisikika akisema huyu mzee hana makuu na pengine mwaka 2025 tusishangae kushuhudia maajabu kama Yale ya 2015 yaliyoacha watu midomo wazi.
Hata Nyalandu yuko huko huko nadhani " wako" safari moja!Habari wadau wa JF.
Wilayani Iramba mkoa wa Singida mambo ni Moto. Shamrashamra zimetawala ktk mji wa Kiomboi ambao ni makao makuu ya wilaya kufuatia ziara ya makamu mwenyekiti wa CCM bara, Ndugu Philip Mangula.
Mzee huyu asiyekuwa na makuu hivi sasa anazungumza na wanachama ktk ukumbi wa Halmashauri. Mjumbe moja alisikika akisema huyu mzee hana makuu na pengine mwaka 2025 tusishangae kushuhudia maajabu kama Yale ya 2015 yaliyoacha watu midomo wazi.
Mzee Mangula anaongea akiwa na akili timamu kabisa kuliko yule kijana wenu lazima apige'weed' ndio azungumzeJamani,duniani imebadilika, hatupo 1960s or 1970s. This is not newsworthy, achilia mbali kuianzishia uzi humu. Nani mwenye akili zake timamu anataka kufatilia taarifa za mazee ya CCM, haina jipya.
Jipya utalipata hivi punde bwashee!Jamani,duniani imebadilika, hatupo 1960s or 1970s. This is not newsworthy, achilia mbali kuianzishia uzi humu. Nani mwenye akili zake timamu anataka kufatilia taarifa za mazee ya CCM, haina jipya.
Kafulila na mkewe walikuwa kwenye mapokezi ya makamu mwenyekiti Mangulla!Mzee Mangula anaongea akiwa na akili timamu kabisa kuliko yule kijana wenu lazima apige'weed' ndio azungumze
Habari ni habari, mbona kikao cha kamati kuu ya Chadema ilirindima humu juziJamani,duniani imebadilika, hatupo 1960s or 1970s. This is not newsworthy, achilia mbali kuianzishia uzi humu. Nani mwenye akili zake timamu anataka kufatilia taarifa za mazee ya CCM, haina jipya.
Sina uhakikaHata Nyalandu yuko huko huko nadhani " wako" safari moja!
Kula tanoNamkubali sana mzee Mangula ,ni kati ya watu wachache duniani wanaozeeka na akili zao timamu. Ni moja ya miamba yenye historia nzito na ya kufikirisha kwenye taifa hili.
Why sadVery sad
Yupi
Nami nipo na namwona Dkt. Mwigulu na kicheko cha bashasha!Habari wadau wa JF.
Wilayani Iramba mkoa wa Singida mambo ni Moto. Shamrashamra zimetawala ktk mji wa Kiomboi ambao ni makao Makuu ya Wilaya kufuatia ziara ya makamu mwenyekiti wa CCM bara, Ndugu Philip Mangula.
Mzee huyu asiyekuwa na makuu hivi sasa anazungumza na wanachama ktk ukumbi wa Halmashauri. Mjumbe moja alisikika akisema huyu mzee hana makuu na pengine mwaka 2025 tusishangae kushuhudia maajabu kama Yale ya 2015 yaliyoacha watu midomo wazi.
Nini kimemfurahisha?Nami nipo na namwona Dkt. Mwigulu na kicheko cha bashasha!