Pre GE2025 Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche: Mimi na Lissu tutapiga nchi hii haijawahi kutokea. Hatuogopi chochote

Pre GE2025 Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche: Mimi na Lissu tutapiga nchi hii haijawahi kutokea. Hatuogopi chochote

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Muda wowote kutoka sasa Heche atatua hapo Lamadi, Simiyu ambako anatarajiwa kutoa neno, ambako ataenda Bunda na Kisha kumalizia Tarime Mjini kabla ya kupokelewa rasmi kesho Februari 13, 2025.

Akizungumza huko Tarime, Heche amewahasa wananchi wa Tarime kuiunga mkono CHADEMA kutokana na mabadiliko ambayo chama imepanga kuyaleta na ameongeza kuwa CCM kwa muda mrefu sasa imekuwa ikiwaibia watanzania.

Heche pia aligusia ukubwa wa mishahara ya wabunge akisema kuwa kwa mwezi Mbunge anapokea Million 20 wakati ndani ya kikao kimoja wanalipwa posho ya laki 6 wakati huo huo kuna wananchi wanalipwa mishahara midogo isiyokidhi.


 
Mbona picha inaonesha keshapokelewa na nyomi ya watu?
 
Back
Top Bottom