Makamu Mwenyekiti CHADEMA TAifa upande wa Zanzibar, Said Mzee ameeleza kuwa Chadema haiwezi kufa kwa hila za CCM, aidha amewapongeza watia nia waliojitokesza katika mkutano huo wa kuwajengea uwezo kuhusu ajenda ya No reforms No election.
Ajenda ya dikteta uchwara awache demokrasia ichukue nafasi sio kila anaepinga mawazo yake ni msaliti watu hawajaelewa watu wanataka kugombea hawataki ngonjera...hao sio kama wale kenge mitandaoni kura hawapigi wala maandamano hawashiriki!