Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT), Zainab Khamis Shomari ahimiza wananchi kujitokeza kujiandikisha katika daftari la Wapiga Kura.
Soma Pia: Kusini Unguja: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Mkuu 2025
Zainab ametoa wito huo leo Februari 9, 2025 wakati akihakiki taarifa zake kwenye daftari hilo, wilayani Chake Chake mkoa wa Kusini Unguja.