the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Feb 27, 2025 Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo
Zanzibar, Ndugu Ismail Jussa atazungumza na waandishi wa habari.Mahala: Ofisi Ndogo za Makao Makuu Vuga ZanzibarMuda: 5:00 Asubuhi
View: https://www.youtube.com/watch?v=hETI2UkrNJ0
Jussa ameeleza kuwa lengo la mkutano huo ni kueleza kuhusu kashfa kubwa inayozunguka uwekezaji wa kimataifa wa bandari ya Zanzibar (bandari ya Malindi).
Ameeleza kuwa utiaji saini wa mkataba huo ulifanyika usiku usiku kienyeji. Kampuni iliyotajwa mara ya kwanza ni tofauti na kampuni iliyokuja kufanya utekelezaji.
Lakini pia mchakato huo haujafuata sheria za manunuzi za Zanzibar, husan sheria ya manunuzi ya Umma ili kuepuka upendeleo unaoweza kutokea.
Jussa ameendelea kusema kuwa hapo awali kabla ya kuja muwekezaji mtu alikuwa anaweza kushusha hadi kontena 15 kwa siku ila baada ya kuja kwa muwekezaji mtu anaweza kutoa kontena moja tu kwa siku.