Uchaguzi 2020 Makamu Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri awataka wanasiasa wanadi Sera badala ya kupambana na Vyombo vya Habari

Kama kweli wanamsimamo basi wasingerusha habari yoyote inayomhusu Makonda baada ya kuvamia Clouds siku zile hadi jamaa aombe msamaha. Hamna jukwaa hapo kuna waganga njaa tu.
Hilo ni shina la CCM kama yalivyo mashina mengine.
 
Sasa una compare marekani na TZ? Unajua kwamba US trump unamtukana live na hakufanyi chochote? Kule ndio kuna uhuru wa habari.
Wewe uhuru huo ulionao hapo umeufanyia nini zaidi ya kucheza pooltable na kubeti ,na bado unataka uhuru wa kutukana,kwetu kutoa lugha ya matusi ni kosa kisheria na lipo upande wa uvunjifu wa maadili.
 
Wewe uhuru huo ulionao hapo umeufanyia nini zaidi ya kucheza pooltable na kubeti ,na bado unataka uhuru wa kutukana,kwetu kutoa lugha ya matusi ni kosa kisheria na lipo upande wa uvunjifu wa maadili.
Huku tunataka uhuru wa kusema ukweli ,Ben saanane alijaribu kusema ukweli kuhusu elimu ya "MTU FURANI" kilimchomtokea anajua yeye na Mungu tu.
 
Sasa kama haziuzi ilikuwaje team ya azam ilikuwepo pale eneo la tukio na kuanza kurusha ghafla wakatiza matangazo na kufuta yale waliyopost awali? Umejaribu kuona tofauti ya views za lissu na Jiwe za youtube?
Waliambiwa na bahresa waondoke wasimpe airtime shoga na kibalaka wa acacia,na ametumwa kuleta uchochezi.
 
JInga kabisa wewe hata hapo ulipo mtaani kwako kuna watu wana vi smartphone lakini hawajui tweeter wala Facebook na jamiiforum, kuna washabiki wa vyama hata kuigia kwenye social network hawana muda alafu wewe unajibaragua hapo.
kila chama na wafuasi wake, chama cha wajanja na wajinga, nchi ina miaka zaidi ya 50 toka iwe huru huku wanachi hawajui teknolojia then unaendelea kushabikia wanao endelea kupandikiza ujinga
 
Kama Mwenyekiti wa ccm anaenda mahali, TBC watasubiri
mwaliko?
 
A
ma kweli mzee wako ni bora ada alokulipia shule angenywea pombe! Sjatukana tusi hata moja lakini wewe unaongea matusi tu, Hebu peleka hilo domo lako chooni unatoa harufu mbaya!
 
Sasa una compare marekani na TZ? Unajua kwamba US trump unamtukana live na hakufanyi chochote? Kule ndio kuna uhuru wa habari.

Mwambie ajaribu tu 'Kumtukana' pia huku Kwetu 'Chato Man' kisha ajue ni kwanini Wimbo wa Taifa hasa wa Tanzania Kwetu haina 'Kolabo' Mkuu.
 
Wasitufokee banaa umechoka na vitivii vyenu kila siku juhudi ya jiwe sijui awamu ya ngapi huko
 
Ila Balile hapo kakosea.

Mbona hao wanasiasa wanaendelea tu na siasa zao kupitia mitandaoni?

Hakuna mapambano yoyote anayoyatamka.

Au ndo akaribia kustaafu?
 
Wewe uhuru huo ulionao hapo umeufanyia nini zaidi ya kucheza pooltable na kubeti ,na bado unataka uhuru wa kutukana,kwetu kutoa lugha ya matusi ni kosa kisheria na lipo upande wa uvunjifu wa maadili.
Weka ushahidi wa hayo matusi na waliyatoa akina nani, Malofa na Mabwege.
 
...🚶🚶🚶... hili jukwaa lilikuwa kimya sana, naona wameamua kuibuka.

Sasa watalipwaje Pesa zao au wataonekana vipi kama wanatekeleza 'Wajibu' wao Kikamilifu kama hawatojitokeza na 'Upumbavu' kama huu Kwetu?
 
Kauli ya mhariri huyo ama aneshindwa kunyoosha maelezo sawa sawa kwa sababu zile zile za Uhuru wa habari Ila asiwalaumu tunao fikiria kuvisusia vyombo vinavyotoa habari ama kwa upendeleo au maekekezo.
 
Hiyo ndo hoja kama .kama mwanasiasia anahisi atendwi haki na media basi anzishe vyombo vyake..ili warushe wanachokitaka
Hata ukianzisha bado watafungia mawio liko wapi, danzania daima liko wapi, mwanahalisi liko wapi ishu Ni kususia tu wao ndio watakao pata hasara
 
Mwambie ajaribu tu 'Kumtukana' pia huku Kwetu 'Chato Man' kisha ajue ni kwanini Wimbo wa Taifa hasa wa Tanzania Kwetu haina 'Kolabo' Mkuu.
Hahaha hiyo haitakiwi kufanyiwa majaribio hata kidogo asije kujikuta yupo na chatu wa CHATTLE pembeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…