Makamu wa kwanza kwa mujibu wa Katiba hataki nafasi hiyo, anataka yeye ndio awe Rais wa Zanzibar wakati Wazanzibar wanamkataa kuanzia 1985 lakini kang'ang'ania kama ruba
Makamu wa kwanza kwa mujibu wa Katiba hataki nafasi hiyo, anataka yeye ndio awe Rais wa Zanzibar wakati.wa Zanzibar wanamkataa kuanzia 1985 lakin kang'ang'ania kama ruba
Makamo wa kwanza wa Rais anatakiwa awe mmoja pekee, na anatakiwa awe alieshika nafasi ya pili kwenye uchaguzi uliofanyika. Hii nafasi imewekwa kama geresha tu ya kuwadanganya wapinzani wawe wanakubali matokeo yasiyo halali ya uchaguzi wa Rais.
Kitendo cha CCM kutengeneza nafasi ya makamo wa pili wa Rais, kinaonesha jinsi ambavyo CCM hawako tayari kufanya kazi na upinzani Zanzibar, huyo makamu wa kwanza wa Rais anageuka kuwa pambo tu.
Makamu wa kwanza anatakiwa awe mshindi wa pili wa Urais wa Zanzibar, hivyo ni Maalim Seif, bado anazuga zuga kuonyesha ana msimamo na sio mroho wa madaraka ila baada ya miezi michache atakuwa anapita na ving’ora kama Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar.