Pre GE2025 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman atangaza rasmi kuwania Urais wa Zanzibar kupitia ACT

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa mifumo hii ya uchaguzi hashindi,ila kwa sababu tunachezeana akili poa tu ccm na act ni walewale.
 


Hii ndio Taarifa yake aliyoisambaza kote Duniani, alipokuwa akituma salamu za Mwaka Mpya.

Taarifa zingine zinaeleza kwamba iwapo chama chake kitampitisha atashinda kwa kishindo kwa vile inadaiwa hana mpinzani.
 
Mwenyekiti Taifa wa ACT Wazalendo, Ndg. Othman Masoud Othman ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ametangaza rasmi kuwania Urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo.​
Kama uchaguzi wa Zanzibar utakuwa huru na wa haki, then huyu ndie rais wa Zanzibar 2025.
Hili nililisema kitambo kwenye mada HII humo nilisema
P
 
Hivi SUK au GNU ina impact gani?

Naona kama HM anawepeleka Zanzibar vizur sana na hiyo SUK haina impact yeyote zaid ya kupiga picha na gari za serikali...

ACT and whatever kwa Zanzibar 2025 ni ngumu sana given wana double power huku na kule.... Hawawezi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…