luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Maaalim ni mtu safi sanaaWanasiasa ni wanafiki sana, lakini bahati mbaya zaidi hata vyombo vya habari vimejaa unafiki.
Mzee huyu walimfinyia kila aina ya Fitna ili asitimize adhma yake, lakini baada ya kufa kwake wanatoka mafichoni kumwagia sifa!!
Kuwa karibu na jiwe ni very risk, sasa hivi anaitumia sana covid kuwamaliza wabaya wake. sijui kwanini ameingia mtegoni kirahisi namna ile.Sijui alikwenda kufanya nini Chato.Huko ndo chanzo cha kifo chake. R.I.P Maalim. Hatimae upinzani Zanzibar nao umezikwa.
Watu mna mamboooo...duuuuhSijui alikwenda kufanya nini Chato.Huko ndo chanzo cha kifo chake. R.I.P Maalim. Hatimae upinzani Zanzibar nao umezikwa.
Sio mbaya lakini kwa sasa havimsaidii hivyo vitu hata kama hakuzikwa amali zake ndio ngao yake huko aliko mbele yake nyuma yetu,Allah amuepushe na adhabu ya kaburi na moto. Innalilah wainnarajiu'uBora alijiunga na serekali ya umoja wa kitaifa atazikwa kwa heshima zote za chama na serekali.
Bila shaka, kama waliweza ku 'murder raia pemba na Unguja kwanini wasifurahi kuona nguzo ya upinzani imeenda na maji?CCM watakuwa wamefurahi sana.
Hili nalo Mr. Makonda aliwahi kulisema akiliita " biological weapons"I sometimes assume this disease might be used as a weapon 🔫🔪
Very true, Hili ni funzo namba moja katika regime hii.Kuwa karibu na jiwe ni very risk, sasa hivi anaitumia sana covid kuwamaliza wabaya wake. sijui kwanini ameingia mtegoni kirahisi namna ile.
Bora alijiunga na serekali ya umoja wa kitaifa atazikwa kwa heshima zote za chama na serekali.